- 1,204 viewsDuration: 2:39Gavana wa Kakamega Fernandes Barasa awataka wanasiasa kuacha kuwatumia vijana kusababisha vurugu kwenye mikutano ya kisiasa..akizungumza wakati wa mazishi ya mkazi wa kakamega dkt. Lukes kundu huko Mumias West,Barasa asema viongozi wana jukumu la kuwaongoza na kuwafundisha vijana badala ya kuwatumia kama zana za mapambano ya kisiasa.