Skip to main content
Skip to main content

Gavana wa Kakamega Fernandes Barasa awasihi wauguzi wasitishe mgomo

  • | Citizen TV
    403 views
    Duration: 59s
    Gavana wa kakamega Fernandes Barasa amewasihi wauguzi kusitisha mgomo wao na kurejea kazini akiwahakikishia kuwa baraza la magavana linajadiliana na viongozi wao kutatua matatizo yaliyopo.