3 Jul 2026 1:25 pm | Citizen TV 292 views Duration: 1:46 Serikali ya kaunti ya Machakos yazindua wodi mpya ya uzazi katika hospitali ya Kyaume, wadi ya Tala, hatua itarajiwayo kuboresha huduma salama za uzazi na afya ya watoto wachanga kwa wakazi wa eneo hilo.