24 Jul 2026 10:19 am | Citizen TV 1,121 views Duration: 1:28 Gavana wa kaunti ya Machakos Wavinya Ndeti alaani kuongezeka kwa visa vya vurugu za kisiasa , akionya kuwa hali hiyo yatishia amani, demokrasia na uchumi wa nchi.