- 3,184 viewsDuration: 34sGavana wa Kericho Dkt. Eric Mutai amewashambulia viongozi wa upinzani kwa kile alichokitaja kuwa ni kupinga miradi ya maendeleo ya serikali licha ya baadhi yao kuwa wamewahi kushikilia nyadhifa za juu serikalini ila hawakufanya mengi.