- 760 viewsDuration: 1:19Gavana wa Kaunti ya Kirinyaga, Anne Waiguru, aikosoa serikali kwa kuendeleza visa vya utekaji nyara vilengavyo wanaharakati, hali asemayo yawapa wakati mgumu viongozi wanaomuunga mkono rais William Ruto kuitetea serikali mashinani. Waiguru asema utekaji wa wanaharakati waharibu taswira ya serikali na unakinzana na ahadi yake rais ya kukomesha visa hivyo .