Skip to main content
Skip to main content

Gavana wa Machakos Wavinya Ndeti aunga mkono Kalonzo Musyoka kuwania urais 2027

  • | Citizen TV
    1,462 views
    Duration: 57s
    Gavana wa Machakos Wavinya Ndeti ameendelea kumuunga mkono Kiongozi WA Wiper Kalonzo Musyoka kuwania urais 2027 akiangazia ajenda yake ya kuimarisha ugatuzi na kuhakikisha usambazaji sawa wa rasilimali kote nchini.