Skip to main content
Skip to main content

Gavana wa Machakos Wavinya Ndeti awashutumu mahasimu wake kwa mkasa moto uliteketeza maduka

  • | Citizen TV
    392 views
    Duration: 1:10
    Gavana wa Machakos Wavinya Ndeti aahidi kuwasaidia wafanyabiashara wa Machakos Mitumba ili kuwawezesha kuanzisha biashara zao upya baada ya moto mkubwa kuunguza soko lote ambapo wafanyabiashara 226 waathirika.