- 2,831 viewsDuration: 1:21Gavana wa Nairobi Johnson Sakaja amewahimiza wakazi wa Nairobi kujiandaa kwa mvua za El Niño zinazotarajiwa kuanza mwezi Oktoba, akisema serikali inaendelea kuchukua hatua za mapema kuzuia mafuriko na kupunguza athari zake.