Skip to main content
Skip to main content

Gavana wa Siaya James Orengo atangaza mipango ya kuzindua chama chake cha kisiasa

  • | NTV Video
    6,960 views
    Duration: 1:09
    Gavana wa Siaya James Orengo ametangaza mipango ya kuzindua chama chake cha kisiasa huku akisisitiza kuwa bado anaunga mkono umoja wa upinzani na kupatikana kwa mgombea mmoja wa urais kuelekea uchaguzi wa mwaka 2027. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya