- 4,584 viewsDuration: 2:19Gavana wa Trans Nzoia George Natembeya ameendeleza wito wa kutaka Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka, IEBC, ichunguze madai ya usajili wa wapigakura nchini Uganda. Natembeya anasema wasiokuwa raia wa Kenya hawafai kuruhusiwa kushiriki katika uchaguzi nchini.