Skip to main content
Skip to main content

Gavana wa Trans Nzoia George Natembeya akashifu ukataji miti uendeleao nchini

  • | Citizen TV
    366 views
    Duration: 1:28
    Gavana wa Trans Nzoia George Natembeya akashifu ukataji miti uendeleao nchini, akisema uharibifu wa misitu wachangia mabadiliko ya hali ya hewa na kusababisha ukame katika maeneo mbalimbali.