- 1,912 viewsDuration: 3:17Mnamo mwezi Machi mwaka elfu mbili ishirini na tatu, Rais William Ruto aliwahakikishia Wakenya kuwa gharama ya gesi ya kupikia ingepungua pakubwa. Hata hivyo, miaka miwili baadaye, hali ilivyo mashinani inaonekana kuwa tofauti kabisa. Badala ya bei kushuka, gharama ya gesi imeendelea kupanda. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya