Skip to main content
Skip to main content

Gharama ya matibabu ya kifafa yaendelea kuwa kikwazo kwa wagonjwa

  • | Citizen TV
    314 views
    Duration: 3:10
    Licha ya maendeleo katika matibabu ya ugonjwa wa kifafa, gharama ya dawa, vipimo na huduma maalum za matibabu bado ni kikwazo kikubwa kwa wagonjwa wengi nchini. Kwa baadhi yao, matumaini pekee ni kutafuta matibabu nje ya nchi, jambo ambalo wengi hawawezi kumudu