- 54,683 viewsDuration: 3:03Kwa zaidi ya miaka 70, soko la Gikomba limetambulika kwa biashara ya mitumba ya bei nafuu kwa wakenya na hata raia wa kigeni . Ila licha ya kuwa soko kubwa nchini, imekumbwa na changamoto si haba ikiwemo moto, mazingira duni ya kazi na mafuriko. Ni Taswira ambayo inaanza kubadilika kupitia mradi wa serikali wa ujenzi wa soko la kisasa.