17 Oct 2026 7:36 pm | Citizen TV 1,335 views Duration: 1:18 Mabingwa watetezi Gor Mahia wameendeleza mwanzo wao mzuri wa msimu wa Ligi Kuu ya FKF 2026/27 baada ya kupata ushindi mgumu wa 1-0 ugenini dhidi ya APS Bomet Jumamosi alasiri.