Skip to main content
Skip to main content

H. ​​pylori ni ugonjwa wa namna gani?

  • | BBC Swahili
    4,876 views
    Duration: 1:55
    Helicobacter pylori, inayojulikana kama H. ​​pylori, ni aina ya bakteria ambayo inaweza kukaa ndani ya tumbo la binadamu. Bakteria huyu anaweza kusababisha hali mbaya ya utumbo, ikiwa ni pamoja na vidonda vya tumbo na, wakati mwingine, saratani ya tumbo. Je umewahi kuumwa ugonjwa huu? #bbcswahili #afya #hpylori Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw