29 Jun 2026 10:51 am | Citizen TV 158 views Duration: 1:34 Na katika kaunti ya Machakos, shirika la Habitat for Humanity, kupitia Mradi wa BMZ Masinga, limechimba kisima cha maji katika eneo hilo ambalo limekuwa na uhaba wa bidhaa hiyo kwa muda mrefu.