Skip to main content
Skip to main content

Hafla maalum ya kumuaga askofu Herbetus Van Megen

  • | Citizen TV
    928 views
    Duration: 1:00
    waliwaongoza waumini kumuaga mwakilishi wa Papa hapa nchini askofu mkuu Hubertus van Megen. Kulikuwa na nyimbo na Sherehe katika uwanja wa ndege wa Jomo Kenyatta wakati wa kumuaga Askofu huyo ambaye alihudumu hapa nchini kwa miaka saba. Askofu Van Megen, ambaye aliwakilisha Vatican hapa nchini Kenya aelekea nchini Ujerumani kuendelea na majukumu yake kwa kanisa katoliki..