Skip to main content
Skip to main content

Hafla ya matumizi ya akiliunde GITEX yafanyika Sarit Center, Nairobi

  • | Citizen TV
    392 views
    Duration: 1:34
    AI EVERYTHING KENYA X GITEX KENYA imezindua jukwaa la maonyesho maalum nchini kenya la kujadili matumizi ya teknolojia ya akiliunde.Hafla hiyo yaandaliwa na kampuni ya inD, ambayo huandaa hafla za kimataifa za GITEX kwa ushirikiano na ofisi ya balozi maalum wa teknolojia nchini kenya. hafla hiyo ya siku tatu yaendelea katika ukumbi wa mikutano katika jumba la Sarit hapa jijini Nairobi.