- 466 viewsDuration: 3:27Mamia ya wakazi wa Makueni waliofukuzwa kutoka kwao zaidi ya miongo mitatu iliyopita na serikali ili kutoa nafasi ya miradi mbalimbali ya serikali wamejitokeza mbele ya tume ya kitaifa ya ardhi NLC nakulalamikika kutelekezwa kwao na serikali hali ambayo imewasababishia masaibu mengi na kuendelea kuishi kama maswkota licha ya awali kumiliki mashamba