Skip to main content
Skip to main content

Hakimu mkuu wa Mahakama ya Kangema asimamishwa kutekeleza majukumu yake baada ya kukamatwa

  • | NTV Video
    1,716 views
    Duration: 3:18
    Tume ya Huduma za Mahakama imemsimamisha kutekeleza majukumu yake ya kimahakama Hakimu Mkuu Mwandamizi wa Mahakama ya Kangema, Martin Mutegi, kufuatia kukamatwa kwake pamoja na Afisa Mkuu wa Huduma za Uangalizi, Julius Irungu Njogu. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya