- 957 viewsDuration: 1:30Halmashauri ya mafunzo ya michezo ya kenya imezindua rasmi mafunzo ya siku tano kwa makocha na maafisa wa michezo katika kaunti ya nandi, yakilenga kuimarisha uwezo wao wa kutambua na kukuza vipaji vya vijana kuanzia ngazi ya mashinani.