30 Jul 2026 1:59 pm | Citizen TV 445 views Duration: 2:24 Timu ya taifa ya Soka kwa wanawake Harambee starlets itamenyana na senegal hii leo kuanzia saa mbili kamili usiku kwenye mechi ya pili ya kundi ‘a’ kuwinda kombe la mataifa ya afrika wafcon nchini Morocco.