22 Jul 2026 8:00 pm | Citizen TV 621 views Duration: 1:23 imu ya taifa ya kandanda ya wanawake, Harambee Starlets, imetamatisha kambi yake ya mazoezi nchini Ufaransa na sasa inaelekea Morocco kwa Kombe la Mataifa ya Afrika kwa Wanawake (WAFCON), litakaloanza baada ya siku nne.