- 968 viewsDuration: 2:38Timu ya taifa ya soka kwa wanawake, Harambee Starlets, inalenga kuandikisha ushindi wake wa kwanza kwenye Kombe la Mataifa ya Afrika kwa Wanawake (WAFCON) nchini Morocco watakapokabiliana na Algeria katika mechi yao ya mwisho ya hatua ya makundi usiku wa leo. Mwanaspoti beki wa kupanda na kushuka Geoffrey Mwamburi ana taarifa kamili kutoka Morocco.