- 306 viewsDuration: 2:46Timu ya taifa ya soka kwa wanawake Harambee starlets imebanduliwa nje ya kombe la mataifa bora barani afrika kufuatia kichapo cha mabao 2-0 Mikononi mwa Algeria kwenye mechi ya mwisho ya makundi hapo jana ugani Olimpic rabat nchini Morocco.