- 385 viewsDuration: 1:01Timu ya taifa ya kandanda ya wanawake, Harambee Starlets, imewasili nchini Morocco ikiwa imesalia siku mbili kabla ya kumenyana na wenyeji katika mechi ya ufunguzi ya Kombe la Mataifa ya Afrika kwa Wanawake. Starlets itaanza kampeni yake kwa kibarua kigumu dhidi ya Morocco, ikilenga kuanza mashindano hayo kwa ushindi.