5 Oct 2026 1:56 pm | Citizen TV 1,815 views Duration: 1:34 Kocha wa timu ya taifa ya kandanda harambee stars benni mccarthy atawapa wachezaji wapya nafasi ya kucheza kwenye mechi ya kirafiki dhidi ya amavubi ya hii leo mjini kigali, rwanda.