Skip to main content
Skip to main content

Harrison Nyamu atafutwa na familia Changamwe baada ya kudaiwa kutekwa na polisi

  • | Citizen TV
    1,611 views
    Duration: 2:30
    Familia moja huko changamwe kaunti ya mombasa inamsaka jamaa yao ambaye wanadai alitekwa nyara na watu wanaoaminika kuwa maafisa wa polisi. Kulingana na mkewe, watu waliojihami kwa bunduki na ambao walikuwa wamejifunika nyuso waliwapiga nyumbani kwao na kisha kutoweka na jamaa huyo.