Skip to main content
Skip to main content

Hassan Omar aseam chama cha UDA kina ushawishi mkubwa kote nchini baada ya ushindi wa Emurua Dikirr

  • | NTV Video
    402 views
    Duration: 1:29
    Katibu mkuu wa chama cha UDA, Hassan Omar Hassan, ametetea matokeo ya chama hicho katika uchaguzi mdogo uliofanyika jana. Omar ametaja ushindi wa UDA katika maeneo bunge ya Emurua Dikirr kama thibitisho tosha kuwa chama hicho tawala bado kina ushawishi mkubwa kote nchini . Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya