29 May 2026 11:25 am | Citizen TV 159 views Duration: 1:22 Wakazi zaidi ya elfu 30 kutoka hifadhi tofauti za wanyamapori eneo la Donyo Uasin Samburu magharibi wakabidhiwa hatimiliki za mashamba ekari 363,000.