Skip to main content
Skip to main content

Hellen Wawira kupeperusha bendera ya Kenya mashindano ya kunyanyua uzani Algeria

  • | Citizen TV
    261 views
    Duration: 1:30
    Mcheza kunyanyua uzani Hellen Wawira anatazamiwa kupeperusha bendera ya Kenya kwenye mashindano ya kunyanyua uzani kwa walemavu yatakayofanyika mjini Oran, Algeria baadaye mwezi huu. Michuano hiyo ya bara Afrika inatarajiwa kuvutia wanariadha wakuu kutoka kote barani, huku Wawira akilenga medali ya dhahabu ambayo inaweza kuimarisha kampeni yake ya kufuzu kwa Michezo ya Jumuiya ya Madola ya 2026 huko Glasgow, Scotland.