Skip to main content
Skip to main content

Hofu Kajiado baada ya watoto zaidi ya 5,000 kuripotiwa kuwa waathiriwa wa dhuluma za kijinsia

  • | Citizen TV
    948 views
    Duration: 3:56
    Watoto zaidi ya elfu tano wameripotiwa kuwa waathiriwa wa dhuluma za kijinsia katika Kaunti ya Kajiado, hali inayozua hofu na wasiwasi mkubwa miongoni mwa wadau wa ulinzi wa watoto. Viongozi na wataalamu sasa wanapaza sauti wakitaka kukomeshwa kwa matumizi ya korti zisizo rasmi nyumbani na kuharakishwa kwa usikilizwaji wa kesi za watoto katika mahakama rasmi.