Skip to main content
Skip to main content

Hofu ya El Niño Odiria

  • | Citizen TV
    1,083 views
    Duration: 3:53
    Wakazi wa Kijiji cha Odiria katika Kaunti ya Busia wanaishi kwa hofu kutokana na tishio la athari za El Niño. Wanaitaka serikali kuchukua hatua za haraka za kuwaandaa na kuwalinda dhidi ya madhara yanayoweza kusababishwa na mvua kubwa na mafuriko