Skip to main content
Skip to main content

Homa Bay: Mwanamume anayetafutwa na polisi kuhusiana na ghasia zilizozuka ajisalimisha kwa polisi

  • | NTV Video
    6,537 views
    Duration: 1:59
    Mwanamume anayetafutwa na polisi kuhusiana na ghasia zilizozuka katika mkutano wa kisiasa Homa Bay amejisalimisha kwa maafisa wa usalama, lakini akakataliwa. Oliver Jaoko Ochieng alikuwa ameelezwa na polisi kujisalimisha na kusaidia katika uchunguzi wa ghasia hizo Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya