Kosele, Kaunti ya Homa Bay, ambalo kwa miongo kadhaa lilikuwa makao makuu ya Wilaya ya Rachuonyo, limeanza kuzorota.
Wafanyabiashara na maafisa wa usalama walihamia Oyugis, eneo lenye fursa bora zaidi za kibiashara. Hali hii imechangia makao makuu hayo ya kaunti ndogo kuwa katika hali ya kukata tamaa.
Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya