Skip to main content
Skip to main content

Homa Bay yakabiliwa na maambukizi

  • | NTV Video
    1,567 views
    Duration: 2:35
    Kufuatia ripoti ya hivi majuzi iliyoorodhesha Kaunti ya Homa Bay ya pili nchini Kenya kwa kuenea kwa unyanyasaji wa kijinsia (GBV), maambukizi mapya ya ugonjwa wa ukimwi, na mimba za utotoni, wanahabari wanaoishi katika kaunti hiyo wameanza kushirikishwa katika warsha na kampeni zinazolenga kuwawezesha. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya