29 May 2026 11:02 am | Citizen TV 492 views Duration: 1:58 Idara ya afya kaunti ya Garissa yaanza shughuli ya kunyunyizia dawa ya kuuwa mbu wasababishao homa ya dengi ambayo husababisha watu zaidi ya1, 900 kulazwa kwenye hospitali tofauti kaunti hiyo.