6 Oct 2026 1:36 pm | Citizen TV 715 views Duration: 1:38 Hospitali ya Emurua Dikirr imepata rasmi hadhi ya Level Four kufuatia mchakato wa karibu miaka mitatu wa Serikali ya Kaunti ya Narok wa kuiboresha hadi viwango vinavyohitajika.