- 502 viewsDuration: 1:20Hospitali ya Mater inalenga kukusanya shilingi milioni,mia moja na hamsini za kusaidia upasuaji wa moyo unaookoa maisha ya watoto kutoka familia zisizojiweza. Akizungumza wakati wa uzinduzi wa kampeni hiyo inayohusisha mbio, mkurugenzi wa huduma za afya wa hospitali ya mater Dkt.Kevin Rombosia amesema kuwa angalau watoto 5,000 kila mwaka wanahitaji matibabu ya dharura ya moyo, akisisitiza umuhimu wa hatua za pamoja.