7 Oct 2026 10:49 am | Citizen TV 374 views Duration: 1:41 Hospitali ya Rufaa ya Bungoma inakabiliwa na changamoto ya uhaba wa Damu, suala ambalo limetajwa kuwa hatari kwa akina mama wajawazito na wagonjwa wa Selimundu.