- 276 viewsDuration: 1:56Baadhi ya hoteli mjini Malindi, kwa ushirikiano na polisi, shirika la Huduma kwa Wanyamapori, Serikali ya Kaunti ya Kilifi, Manispaa ya Malindi, Progress Welfare Association of Malindi pamoja na wahudumu wa dharura, zimefanya mazoezi ya kiusalama ili kuimarisha maandalizi ya kukabiliana na dharura katika hoteli.