- 238 viewsDuration: 1:51Huduma za afya kwa watoto wachanga katika Hospitali ya Ndaragwa zaimarishwa pakubwa kufuatia msaada wa vifaa vya kisasa vya kuhifadhia watoto wachanga maarufu mshasari au inkubeta, hatua muhimu katika juhudi za hospitali hiyo kupunguza vifo vya watoto wazaliwao kabla ya wakati na wale walio katika hali mbaya ya kiafya.