- 705 viewsDuration: 5:03Dharura zinaweza kutokea wakati wowote na mahali popote, ikiwemo ndani ya nyumba zetu. Je, tunajua hatua sahihi za kuchukua kabla ya msaada wa kitaalamu kufika? Leo katika Siha na Maumbile, tunaangazia huduma ya kwanza nyumbani. daktari Drusillah mogire kutoka kituo cha equity afya Embakasi akitupa maarifa muhimu ambayo yanaweza kusaidia kuokoa Maisha na kulinda usalama wa familia.