4 Aug 2026 10:12 am | Citizen TV 116 views Duration: 3:03 Huku mgomo wa wahudumu wa afya ukiendelea kote nchini na kulemaza huduma, wakazi katika kaunti hiyo wazidi kutaabika, wagonjwa wanaofika katika hospitali za umma wakirejeshwa nyumbani