- 545 viewsDuration: 2:29Maelfu ya wagonjwa wamesalia njia panda huku huduma za afya zikiendelea kutatizwa kwenye hospitali mbalimbali za umma nchini. Wahudumu wa afya walioandamana katika maeneo tofauti nchini wakishikilia kuwa wataendelea kutatiza huduma hadi serikali itakapowasikiliza na kuchukua hatua. Aidha wameshutumu baraza la magavana kwa kile wanasema ni kukosa kutekeleza vipengee muhimu vya makubalinao yao.