- 492 viewsDuration: 3:07Huduma za matibabu katika hospitali za umma katika kaunti ya Samburu zatatizika kutokana na mgomo wa wauguzi uingiao siku ya tatu. Muungano wa wauguzi KNUN tawi la Samburu wakosoa baraza la magavana kwa kutotekeleza mkataba wa makubaliano wa mwaka 2017 uangaziao nyongeza ya mishahara na upandishaji wa vyeo.