- 684 viewsDuration: 1:27Hali ya kawaida inaanza kurejea katika huduma za matibabu katika hospitali za Kericho baada ya Serikali ya Kaunti kuajiri wauguzi kwa kandarasi. Hatua hiyo inalenga kupunguza changamoto ya uhaba wa wahudumu wa afya na kuhakikisha wagonjwa wanapata huduma kwa wakati.