Skip to main content
Skip to main content

Hukumu ya kifo ya Kabila itaathiri vipi DRC

  • | BBC Swahili
    16,721 views
    Duration: 52s
    Uamuzi wa mahakama ya kijeshi nchini Jamuhuri ya Kidemokrasi ya Congo kumhukumu kifo aliyekuwa Rais wa nchi hiyo Joseph Kabila umezua mjadala ndani ya nchi hiyo na hasa katika eneo la mashariki ambapo kumeshuhudiwa vita kwa miongo kadhaa. Kabila ambaye amekuwa akiunga mkono kundi la waasi la M23 alizuru mji wa Goma miezi kadhaa iliyopita na kwa sasa hajullikani alipo. Swali ni je, hukumu hii itaathiri vipi amani mashariki mwa Congo? @RoncliffeOdit anajadili hili kwa kina katika Dira ya Dunia TV kupitia ukurasa wa YouTube wa BBC News Swahili. - - #bbcswahili #drc #kabila #diratv #siasa